Hero Slider

Okoa Maisha,
Rudisha matumaini

Tunaamini kila binadamu anastahili heshima, fursa, na upatikanaji wa mahitaji ya msingi—bila kujali asili, jinsia, umri, au dini.

50Miradi
1000Watu walio Saidika
15Jamii kwa ujumla
80 Wasaidizi Hai

Huduma za Jamii,
Matendo ya Tumaini,

Kupitia elimu na motisha, tumeazimia kuboresha hali ya maisha kwa watu wote bila kujali jinsia, umri, au kabila. Tunasaidia jamii kujijenga upya na kustawi.

50Miradi
1000Watu walio Saidika
15Jamii kwa ujumla
80 Wasaidizi Hai

Tujenge pamoja
Jiunge na harakati zetu

Mchango wako hutusaidia kujenga jamii zinazojiendesha kupitia elimu, maendeleo endelevu, na programu za msaada nchini Tanzania.

50Miradi
1000Watu walio Saidika
15Jamii kwa ujumla
80 Wasaidizi Hai

BAADHI YA MIRADI YETU

Jinsi AFOTA inavyofanya kazi

Kuhusu AFOTA

AFOTA inafanya kazi na jamii za ndani kote Tanzania kurejesha heshima na maisha—ikitoa maji, huduma za afya, elimu na misaada ya dharura wakati ikijenga ustahimilivu wa muda mrefu.

Jifunze kuhusu AFOTA

Programu Zetu

Elimu, maji safi, miradi ya maisha ya familia na majibu ya dharura — zimeundwa hasa kwa kushirikiana na viongozi wa eneo ili kuleta athari inayoonekana na endelevu.

Tizama Programu

Shiriki Nasi

Jitolee, toa, au shiriki na AFOTA — msaada wako husaidia kupanua ufikiaji wetu na kuwawezesha jamii kuelekea kujitegemea.

Chukua Hatua

MISAADA TUNAYO TOA

Msaada kwa Yatima na Watoto Walioko Hatari

Tunafanya kazi kulinda na kuinua watoto yatima na wanaokabiliwa na hatari kwa kuwapa ufikiaji wa elimu, huduma za afya, msaada wa hisia, na mazingira salama. AFOTA inatengeneza programu za muda mrefu za utunzaji wa watoto, ikijumuisha kituo cha watoto kinachokuja.

Msaada kwa watoto
Msaada wa jamii

Tunatekeleza mpango maalum wa kibinadamu unaolenga kukagua, kununua, kuchinja na kugawa mifugo kwa njia iliyo salama, ya haki na yenye kuzingatia maadili ya kidini na kijamii. Kabla ya ununuzi, mifugo hukaguliwa kwa umakini ili kuhakikisha ina afya njema na inafaa kwa matumizi ya binadamu kulingana na viwango vinavyokubalika kiafya.

Mchango wa Qurban
Mkutano wa jamii

Msaada wa Kibinadamu & Msaada wa Chakula

Tunatoa msaada wa dharura kwa familia zinazohitaji kwa kusambaza vifurushi vya chakula, kuchinja mifugo kwa programu za nyama za jamii, na kusambaza vitu muhimu wakati wa dharura. Lengo letu ni kuhakikisha hakuna familia inalala njaa.

Msaada wa dharura
Misaada ya dharura

Uwezeshaji wa Wanawake, Watoto & Vijana

Tunatoa elimu ya fedha, mafunzo ya ujuzi, na msaada wa kijamii ili kuwasaidia kujenga upya vyanzo vya kujikimu. Vijana wanapewa fursa za mafunzo zinazochochea ubunifu, uwajibikaji, na ujasiriamali.

Mafunzo ya uwezeshaji
Ujenzi wa jamii

Miradi ya Maji Safi

Tunatekeleza miradi ya maji safi na salama kwa lengo la kuboresha afya, ustawi na maisha ya jamii zinazokosa huduma ya uhakika ya maji. Miradi yetu inalenga kuchimba visima, kujenga na kukarabati vyanzo vya maji, pamoja na kufunga mifumo ya kusambaza maji katika maeneo ya vijijini na jamii zilizo katika mazingira magumu.

Bore ya maji
Maji safi

Masuala ya Elimu

Elimu ina hadhi ya heshima katika Jamii.
Kusaidia watoto wa familia zenye kipato kidogo, AFOTA inafanya kazi na wadau wa ndani na kimataifa kusaidia miradi ya jamii kama ujenzi wa makazi, ukarabati wa shule, ujenzi wa misikiti, na kuboresha miundombinu ya eneo.

Elimu
Wanafunzi wakisoma

TAARIFA KWA UFUPI